Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 17:1-4

Mwanzo 17:1-4 SRUV

Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na tisa, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu. Nami nitafanya agano langu nawe, nami nitakuzidishia sana. Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, Hili ndilo agano langu nawe, utakuwa baba wa mataifa mengi

Soma Mwanzo 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 17:1-4