Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwa 17:1-4

Mwa 17:1-4 SUV

Abramu alipokuwa mtu wa miaka tisini na kenda, BWANA akamtokea Abramu, akamwambia, Mimi ni Mungu Mwenyezi, uende mbele yangu, ukawe mkamilifu. Nami nitafanya agano langu kati ya mimi na wewe, nami nitakuzidisha sana sana. Abramu akaanguka kifudifudi. Mungu akamwambia, akasema, Mimi, agano langu nimefanya nawe, nawe utakuwa baba wa mataifa mengi

Soma Mwa 17

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwa 17:1-4