Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wagalatia 5:13-14

Wagalatia 5:13-14 SRUV

Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo. Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Wagalatia 5:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha