Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Gal 5:13-14

Gal 5:13-14 SUV

Maana ninyi, ndugu, mliitwa mpate uhuru; lakini uhuru wenu usiwe sababu ya kuufuata mwili, bali tumikianeni kwa upendo. Maana torati yote imetimilika katika neno moja, nalo ni hili, Umpende jirani yako kama nafsi yako.

Soma Gal 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Gal 5:13-14

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha