Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 33:11

Kutoka 33:11 SRUV

Naye BWANA akasema na Musa uso kwa uso, kama vile mtu asemavyo na rafiki yake. Kisha akageuka akarejea hata kambini; bali mtumishi wake Yoshua, mwana wa Nuni, naye ni kijana, hakutoka mle hemani.

Soma Kutoka 33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 33:11