Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 33:11

Kut 33:11 SUV

Naye BWANA akasema na Musa uso kwa uso, kama vile mtu asemavyo na rafiki yake. Kisha akageuka akarejea hata maragoni; bali mtumishi wake Yoshua, mwana wa Nuni, naye ni kijana, hakutoka mle hemani.

Soma Kut 33

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 33:11

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha