Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 14:13-16

Kutoka 14:13-16 SRUV

Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya. BWANA akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele. Nawe inua fimbo yako, ukanyoshe mkono wako juu ya bahari, na kuigawanya; nao wana wa Israeli watapita kati ya bahari katika nchi kavu.

Soma Kutoka 14

Video for Kutoka 14:13-16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 14:13-16