Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 14:13-16

Kutoka 14:13-16 NEN

Mose akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu BWANA atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena. BWANA atawapigania ninyi, nanyi mnatakiwa kutulia tu.” Ndipo BWANA akamwambia Mose, “Kwa nini wewe unanililia? Waambie Waisraeli waendelee mbele. Inua fimbo yako na unyooshe mkono wako juu ya bahari ili kuyagawa maji, hivyo kwamba Waisraeli wapate kupita mahali pakavu baharini.

Video for Kutoka 14:13-16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 14:13-16