Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kutoka 14:13-14

Kutoka 14:13-14 SRUV

Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.

Soma Kutoka 14

Video ya Kutoka 14:13-14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kutoka 14:13-14