Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kut 14:13-14

Kut 14:13-14 SUV

Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.

Video ya Kut 14:13-14

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kut 14:13-14