Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 5:25-28

Waefeso 5:25-28 SRUV

Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye alivyolipenda kanisa, akajitoa kwa ajili yake; ili makusudi alitakase na kulisafisha kwa maji katika neno; apate kujiletea kanisa tukufu, lisilo na dosari wala kunyanzi wala lolote kama hayo; bali liwe takatifu lisilo na mawaa. Vivyo hivyo imewapasa waume nao kuwapenda wake zao kama miili yao wenyewe. Ampendaye mkewe hujipenda mwenyewe.

Soma Waefeso 5

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 5:25-28