Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waefeso 1:17-18

Waefeso 1:17-18 SRUV

Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awape ninyi roho ya hekima na ya ufunuo katika kumjua yeye; macho ya mioyo yenu yatiwe nuru, mjue tumaini la mwito wake jinsi lilivyo; na utajiri wa utukufu wa urithi wake katika watakatifu jinsi ulivyo

Soma Waefeso 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waefeso 1:17-18