Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 28:1-2

Kumbukumbu la Torati 28:1-2 SRUV

Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani; na baraka hizi zote zitakujilia na kukupata usikiapo sauti ya BWANA, Mungu wako.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Kumbukumbu la Torati 28:1-2

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha