Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Kumbukumbu la Torati 11:6-7

Kumbukumbu la Torati 11:6-7 SRUV

na alivyowafanya Dathani, na Abiramu, wana wa Eliabu mwana wa Reubeni; nchi ilivyofunua kinywa chake, ikawameza, na walio nyumbani mwao, na mahema yao, na kila kitu kilichokuwa hai kikiwafuata, katikati ya Israeli yote; lakini macho yenu yameiona kazi kubwa ya BWANA aliyoifanya, yote.

Video for Kumbukumbu la Torati 11:6-7