Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 3:17-18

Danieli 3:17-18 SRUV

Kama ni hivyo, Mungu wetu tunayemtumikia aweza kutuokoa na tanuri liwakalo moto; naye atatuokoa mkononi mwako, Ee mfalme. Bali kama si hivyo, ujue, Ee mfalme, ya kuwa sisi hatukubali kuitumikia miungu yako, wala kuisujudia hiyo sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.

Soma Danieli 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 3:17-18