Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 3:17-18

Danieli 3:17-18 NEN

Ikiwa tutatupwa ndani ya tanuru iwakayo moto, Mungu tunayemtumikia anaweza kutuokoa na moto, naye atatuokoa kutoka mkononi mwako, ee mfalme. Lakini hata ikiwa hatatuokoa, ee mfalme, tunataka ufahamu kwamba, hatutaitumikia miungu yako wala kuiabudu sanamu ya dhahabu uliyoisimamisha.”

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 3:17-18