Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Danieli 2:31-32

Danieli 2:31-32 SRUV

Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa la kutisha. Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu safi; kifua chake na mikono yake ni ya fedha; tumbo lake na viuno vyake ni vya shaba

Soma Danieli 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Danieli 2:31-32