Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Dan 2:31-32

Dan 2:31-32 SUV

Wewe, Ee Mfalme, uliona, na tazama, sanamu kubwa sana. Sanamu hii, iliyokuwa kubwa sana, na mwangaza wake mwingi sana, ilisimama mbele yako; na umbo lake lilikuwa lenye kutisha. Na sanamu hii kichwa chake kilikuwa ni cha dhahabu safi; kifua chake na mikono yake ni ya fedha; tumbo lake na viuno vyake ni vya shaba

Soma Dan 2

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Dan 2:31-32