Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 7:59-60

Matendo 7:59-60 SRUV

Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu. Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona kitendo cha kuuawa kwake kuwa sawa.

Soma Matendo 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 7:59-60