Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 20:28-30

Matendo 20:28-30 SRUV

Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe. Najua mimi ya kuwa baada ya kuondoka kwangu mbwamwitu wakali wataingia kwenu, wasilihurumie kundi; tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawafuatie wao.

Soma Matendo 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 20:28-30