Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 20:28-30

Mdo 20:28-30 SUV

Jitunzeni nafsi zenu, na lile kundi lote nalo, ambalo Roho Mtakatifu amewaweka ninyi kuwa waangalizi ndani yake, mpate kulilisha kanisa lake Mungu, alilolinunua kwa damu yake mwenyewe. Najua mimi ya kuwa baada ya kuondoka kwangu mbwa-mwitu wakali wataingia kwenu, wasilihurumie kundi; tena katika ninyi wenyewe watainuka watu wakisema mapotovu, wawavute hao wanafunzi wawaandamie wao.

Soma Mdo 20

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 20:28-30