Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 10:25-28

Matendo 10:25-28 SRUV

Petro alipokuwa akiingia Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguuni mwake, akamsujudia. Lakini Petro akamwinua, akasema, Simama, mimi nami ni mwanadamu. Na katika kusema naye akaingia ndani, akaona watu wengi wamekusanyika. Akawaambia, Ninyi mnajua ya kuwa si halali kwa mtu aliye Myahudi ashirikiane na mtu wa taifa lingine wala kumtembelea, lakini Mungu amenionya, nisimwite mtu yeyote mchafu wala najisi.

Soma Matendo 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Matendo 10:25-28