Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mdo 10:25-28

Mdo 10:25-28 SUV

Petro alipokuwa akiingia Kornelio akatoka amlaki akamwangukia miguu, akamsujudia. Lakini Petro akamwinua, akasema, Simama, mimi nami ni mwanadamu. Na katika kusema naye akaingia ndani, akaona watu wengi wamekusanyika. Akawaambia, Ninyi mnajua ya kuwa si halali mtu aliye Myahudi ashikamane na mtu aliye wa taifa lingine wala kumwendea, lakini Mungu amenionya, nisimwite mtu awaye yote mchafu wala najisi.

Soma Mdo 10

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mdo 10:25-28