Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wafalme 8:56

1 Wafalme 8:56 SRUV

Na ahimidiwe BWANA, aliyewapa watu wake Israeli kustarehe, vile vile kama yote aliyoyaahidi. Halikukosa kupatikana neno lolote katika ahadi yake njema, aliyoahidi kwa mkono wa Musa, mtumishi wake.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wafalme 8:56