1 Wafalme 8:56
1 Wafalme 8:56 Biblia Habari Njema (BHN)
“Atukuzwe Mwenyezi-Mungu ambaye amewapatia starehe watu wake Israeli, kulingana na ahadi yake. Ametimiza ahadi zake zote njema alizozitoa kupitia kwa mtumishi wake Mose.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 81 Wafalme 8:56 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ahimidiwe BWANA, aliyewapa watu wake Israeli kustarehe, vile vile kama yote aliyoyaahidi. Halikukosa kupatikana neno lolote katika ahadi yake njema, aliyoahidi kwa mkono wa Musa, mtumishi wake.
Shirikisha
Soma 1 Wafalme 8