Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Yohana 3:18-22

1 Yohana 3:18-22 SRUV

Watoto wadogo, tusipende kwa neno, wala kwa ulimi, bali kwa tendo na kweli. Katika hili tutafahamu ya kwamba tu wa kweli, nasi tutaituliza mioyo yetu mbele zake, ikiwa mioyo yetu inatuhukumu; kwa maana Mungu ni mkuu kuliko mioyo yetu naye anajua yote. Wapenzi, mioyo yetu isipotuhukumu, tuna ujasiri kwa Mungu; na lolote tuombalo, tunalipokea kwake, kwa kuwa tunazishika amri zake, na kuyatenda yapendezayo machoni pake.

Soma 1 Yohana 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Yohana 3:18-22