Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 7:37-38

1 Wakorintho 7:37-38 SRUV

Lakini yeye aliyesimama kwa uthabiti wa moyo wake, hana sharti, lakini aweza kuyatawala mapenzi yake, tena amekusudia moyoni mwake kumlinda mwanamwali wake, atatenda vema. Basi, hivyo na amwozaye mwanamwali wake afanya vema; na yeye asiyemwoza atazidi kufanya vema.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 7:37-38