Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 7:37-38

1 Wakorintho 7:37-38 NEN

Lakini mwanaume ambaye ameamua moyoni mwake kutooa bila kulazimishwa na mtu yeyote, bali anaweza kuzitawala tamaa zake kutomwoa huyo mwanamwali, basi anafanya ipasavyo. Hivyo basi, mwanaume amwoaye mwanamwali afanya vyema, lakini yeye asiyemwoa afanya vyema zaidi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 7:37-38