Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

1 Wakorintho 10:12-14

1 Wakorintho 10:12-14 SRUV

Kwa hiyo anayejidhania kuwa amesimama na aangalie asianguke. Jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita muwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili muweze kustahimili. Kwa ajili ya hayo, wapenzi wangu, ikimbieni ibada ya sanamu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na 1 Wakorintho 10:12-14