Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Sef 3:16-17

Sef 3:16-17 SUV

Katika siku ile Yerusalemu utaambiwa, Usiogope, Ee Sayuni; mikono yako isilegee. BWANA, Mungu wako, yu katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia kwa furaha kuu, Atakutuliza katika upendo wake, Atakufurahia kwa kuimba.

Soma Sef 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Sef 3:16-17