Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Tit 3:12-13

Tit 3:12-13 SUV

Wakati nitakapomtuma Artema kwako au Tikiko, jitahidi kuja kwangu huku Nikopoli; kwa maana huku nimekusudia kukaa wakati wa baridi. Zena, yule mwana-sheria, na Apolo, uwasafirishe kwa bidii, wasipungukiwe na cho chote.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Tit 3:12-13