Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Tito 3:12-13

Tito 3:12-13 NEN

Mara nitakapomtuma Artema au Tikiko kwako, jitahidi kuja unione huko Nikopoli, kwa sababu nimeamua kukaa huko wakati wa majira ya baridi. Fanya kila uwezalo uwasafirishe Zena yule mwanasheria na Apolo na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji katika safari yao.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Tito 3:12-13