Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rut 4:17-22

Rut 4:17-22 SUV

Nao wale wanawake waliokuwa jirani zake wakampa jina, wakisema, Naomi amezaliwa mwana; wakamwita jina lake Obedi; yeye ndiye baba yake Yese, aliye baba yake Daudi. Hivi ndivyo vizazi vya Peresi; Peresi alimzaa Hesroni; na Hesroni akamzaa Ramu; na Ramu akamzaa Aminadabu; na Aminadabu akamzaa Nashoni; na Nashoni akamzaa Salmoni; na Salmoni akamzaa Boazi; na Boazi akamzaa Obedi; na Obedi akamzaa Yese; na Yese akamzaa Daudi.

Soma Rut 4

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rut 4:17-22