Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 3:10-12

Rum 3:10-12 SUV

kama ilivyoandikwa, ya kwamba, Hakuna mwenye haki hata mmoja. Hakuna afahamuye; Hakuna amtafutaye Mungu. Wote wamepotoka, wameoza wote pia; Hakuna mtenda mema, la! Hata mmoja.

Soma Rum 3

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 3:10-12

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha