Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 3:10-12

Warumi 3:10-12 NEN

Kama ilivyoandikwa: “Hakuna mwenye haki, hakuna hata mmoja. Hakuna hata mmoja mwenye ufahamu, hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu. Wote wamepotoka, wote wameoza pamoja; hakuna atendaye mema, naam, hakuna hata mmoja.”

Video for Warumi 3:10-12

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 3:10-12