Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 13:6-7

Rum 13:6-7 SUV

Kwa sababu hiyo tena mwalipa kodi; kwa kuwa wao ni wahudumu wa Mungu, wakidumu katika kazi iyo hiyo. Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.

Soma Rum 13

Video for Rum 13:6-7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 13:6-7