Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Rum 1:21-23

Rum 1:21-23 SUV

kwa sababu, walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu wala kumshukuru; bali walipotea katika uzushi wao, na mioyo yao yenye ujinga ikatiwa giza. Wakijinena kuwa wenye hekima walipumbazika; wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.

Soma Rum 1

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Rum 1:21-23