Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Warumi 1:21-23

Warumi 1:21-23 NEN

Kwa maana ingawa walimjua Mungu, hawakumtukuza yeye kama ndiye Mungu wala hawakumshukuru, bali fikira zao zimekuwa batili na mioyo yao ya ujinga ikatiwa giza. Ingawa walijidai kuwa wenye hekima, wakawa wajinga na kubadili utukufu wa Mungu aishiye milele kwa sanamu zilizofanywa zifanane na mwanadamu ambaye hufa, na mfano wa ndege, wanyama na viumbe vitambaavyo.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Warumi 1:21-23