Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 22:3-5

Ufu 22:3-5 SUV

Wala hapatakuwa na laana yo yote tena. Na kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo ndani yake. Na watumwa wake watamtumikia; nao watamwona uso wake, na jina lake litakuwa katika vipaji vya nyuso zao. Wala hapatakuwa na usiku tena; wala hawana haja ya taa wala ya nuru ya jua; kwa kuwa Bwana Mungu huwatia nuru, nao watatawala hata milele na milele.

Soma Ufu 22

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 22:3-5