Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 19:7-8

Ufu 19:7-8 SUV

Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari. Naye amepewa kuvikwa kitani nzuri, ing’arayo, safi; kwa maana kitani nzuri hiyo ni matendo ya haki ya watakatifu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 19:7-8