Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufu 19:6-7

Ufu 19:6-7 SUV

Nikasikia sauti kama sauti ya makutano mengi, na kama sauti ya maji mengi, na kama sauti ya radi yenye nguvu, ikisema, Haleluya; kwa kuwa Bwana Mungu wetu, Mwenyezi, amemiliki. Na tufurahi, tukashangilie, tukampe utukufu wake; kwa kuwa arusi ya Mwana-Kondoo imekuja, na mkewe amejiweka tayari.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufu 19:6-7