Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Ufunuo 19:6-7

Ufunuo 19:6-7 NEN

Kisha nikasikia sauti kama ya umati mkubwa, kama sauti ya maji mengi yaendayo kasi na kama ngurumo kubwa ya radi wakipiga kelele wakisema: “Haleluya! Kwa maana BWANA Mungu wetu Mwenyezi anatawala. Tufurahi, tushangilie na kumpa utukufu! Kwa maana arusi ya Mwana-Kondoo imewadia na bibi arusi wake amejiweka tayari.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Ufunuo 19:6-7