Zab 94:18-19
Zab 94:18-19 SUV
Niliposema, Mguu wangu unateleza; Ee BWANA, fadhili zako zilinitegemeza. Katika wingi wa mawazo ya moyoni mwangu, Faraja zako zaifurahisha roho yangu.