Zaburi 94:18-19
Zaburi 94:18-19 NEN
Niliposema, “Mguu wangu unateleza,” Ee BWANA, upendo wako ulinishikilia. Wakati wasiwasi ulipokuwa mwingi ndani yangu, faraja yako ilinipa furaha nafsini mwangu.