Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 91:15-16

Zab 91:15-16 SUV

Ataniita nami nitamwitikia; Nitakuwa pamoja naye taabuni, Nitamwokoa na kumtukuza; Kwa siku nyingi nitamshibisha, Nami nitamwonyesha wokovu wangu.

Soma Zab 91

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 91:15-16

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha