Zaburi 91:15-16
Zaburi 91:15-16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ataniita, nami nitamjibu; nitakuwa pamoja naye katika taabu, nitamwokoa na kumheshimu. Kwa siku nyingi nitamshibisha na kumwonyesha wokovu wangu.”
Shirikisha
Soma Zaburi 91Zaburi 91:15-16 Biblia Habari Njema (BHN)
Akiniita, mimi nitamwitikia; akiwa taabuni nitakuwa naye; nitamwokoa na kumpa heshima. Nitamridhisha kwa maisha marefu, nitamjalia wokovu wangu.”
Shirikisha
Soma Zaburi 91