Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 9:1-4

Zab 9:1-4 SUV

Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu; Nitafurahi na kukushangilia Wewe; Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu. Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma; Hujikwaa na kuangamia mbele zako. Kwa maana umenifanyia hukumu na haki Umeketi kitini pa enzi ukihukumu kwa haki.

Soma Zab 9

Verse Images for Zab 9:1-4

Zab 9:1-4 - Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote;
Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;
Nitafurahi na kukushangilia Wewe;
Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.
Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma;
Hujikwaa na kuangamia mbele zako.
Kwa maana umenifanyia hukumu na haki
Umeketi kitini pa enzi ukihukumu kwa haki.Zab 9:1-4 - Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote;
Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;
Nitafurahi na kukushangilia Wewe;
Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.
Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma;
Hujikwaa na kuangamia mbele zako.
Kwa maana umenifanyia hukumu na haki
Umeketi kitini pa enzi ukihukumu kwa haki.Zab 9:1-4 - Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote;
Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;
Nitafurahi na kukushangilia Wewe;
Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.
Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma;
Hujikwaa na kuangamia mbele zako.
Kwa maana umenifanyia hukumu na haki
Umeketi kitini pa enzi ukihukumu kwa haki.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Zab 9:1-4