Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 77:3-12

Zab 77:3-12 SUV

Nilipotaka kumkumbuka Mungu nalifadhaika; Nilipotaka kutafakari roho yangu ilizimia. Ulizishika kope za macho yangu zisifumbike; Naliona mashaka nisiweze kunena. Nalifikiri habari za siku za kale, Miaka ya zamani zilizopita. Nakumbuka wimbo wangu usiku, Nawaza moyoni mwangu, Roho yangu ikatafuta. Je! Bwana atatupa milele na milele? Hatatenda fadhili tena kabisa? Rehema zake zimekoma hata milele? Ahadi yake imekwisha hata vizazi vyote? Mungu amesahau fadhili zake? Amezuia kwa hasira rehema zake? Nikasema, Ndio udhaifu wangu huo; Lakini nitaikumbuka miaka ya mkono wa kuume wake Aliye juu. Nitayakumbuka matendo ya BWANA; Naam, nitayakumbuka maajabu yako ya kale. Pia nitaitafakari kazi yako yote; Nitaziwaza habari za matendo yako.

Soma Zab 77

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha