Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Zab 71:20-21

Zab 71:20-21 SUV

Wewe, uliyetuonyesha mateso mengi, mabaya, Utatuhuisha tena. Utatupandisha juu tena Tokea pande za chini ya nchi. Laiti ungeniongezea ukuu! Urejee tena na kunifariji moyo.