Zaburi 71:20-21
Zaburi 71:20-21 Biblia Habari Njema (BHN)
Umenifanya nione taabu nyingi ngumu, lakini utanirudishia tena uhai, wewe utaniinua tena kutoka huko chini. Utaniongezea heshima yangu, na kunifariji tena.
Shirikisha
Soma Zaburi 71Zaburi 71:20-21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wewe, uliyetuonesha mateso mengi, mabaya, Utatuhuisha tena. Utatupandisha juu tena Kutoka katika vina virefu chini ya nchi. Laiti ungeniongezea ukuu! Urejee tena na kunifariji moyo.
Shirikisha
Soma Zaburi 71